Kutoka kulia ni Afisa habari wa Vodacom Kirasa akiwa na warembo waliofanikiwa kuingia tano bora ya Miss Temeke. wa pili ni Britaner Urassa, Anna Daudi, Afisa wa Vodacom Foundation Grece Lyon, Miss Temeke Geneviva Emmanuel, Domitria Innocent na Ritta Samwel wakiwa katika picha ya pamoja baada ya kutembelea ofisi za Vodacom Foundation.
Mtaalamu wa habari wa Vodacom Tanzania Matina Nkurlu akiwaongoza mamiss wakati walipofika katika ofisi za vodacom jana.
Mkuu wa Udhamini wa Vodacom Tanzania George Rwehumbiza kushoto akitoa maelezo kwa warembo hao.
Mkurugenzi wakampuni ya BM ambayo ndiyo inayoratibu mashindano ya Miss Temeke Ben Kisaka akimkabidhi zawadi Mkurugenzi wa masoko wa Vodacom Ephrahim Mafuru kama shukurani kwa kuwa miongoni mwa wazamini wa miss Temeke, kulia ni miss Temeke 2010 Geneviver Emmanuel akishuhudia (kushoto) ni Mkuu wa Udhamini wa vodacom George Rwehumbiza na mshindi wa nne Donitria Innocent.
No comments:
Post a Comment