Mfanyakazi wa Vodacom ,alisalimiana na washindi wa miss Temeke ambao walifanikiwa kushika tano bora wakiongozwa na miss Temeke watatu kutoka kushoto Geneviver Emmanuel.
Wafanyakazi wa Vodacom wakiwa katika picha ya pamoja na warembo wa miss Temeke top five walipotemebelea katika ofisi za vodacom zilizopo katika jengo la PPF Tower.
No comments:
Post a Comment