Welcome to pwaniraha blog please contribute by posting your comments on our blog, kindly note that abussive language is strictly not entertained. Thank you.
Welcome To Pwani Raha Blog; email us at "pwaniraha@gmail.com"

July 10, 2010

Miss Temeke Tishio Tanzania.


Miss Temeke 2010 Geneviva Emmanuel katikati akiwa na mshindi wa pili Anna Daudi (kushoto) na Mshindi wa tatu Britania Urassa kulia wakiwapunga mikono baada ya kutangazwa Miss Temeke Vodacom katika shindano lililofanyika katika viwanja vya TCC Chang'ombe jijini Dar es Salaam.



Athumani Hamis akifuatilia mashindano hayo,warembo walioshiriki miss Chang'ombe 2010 walimchangia kiasi cha shilingi 100,000, kama pole baada ya kupata ajali mwaka jana iliyomsababishia ulemavu. Athumani alikuwa ni mpiga picha mkuu wa gazeti la Habari Leo.



Athumani akifarijiwa na mmoja wa warembo aliyefika katika shindano hilo la Miss Changombe.

Washindi wakifungua shmapeni zao kwa madaha
.


Washiriki wote wa miss Temeke wakiwa katika picha ya pamoja baada ya kumpata mshindi Geneviva Emmanuel.

No comments: