Welcome to pwaniraha blog please contribute by posting your comments on our blog, kindly note that abussive language is strictly not entertained. Thank you.
Welcome To Pwani Raha Blog; email us at "pwaniraha@gmail.com"

July 1, 2010

Kalugaba Aachanha na Ukapela.


Padri wa kanisa Katoliki la Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, akisimamia zoezi la utiaji saini kwa bwana harusi Jocob Kalugaba huku mkewe akishuhudia saini hiyo isiyo na kikomo katika ibada ya ndoa iliyofanyika Juni 26 mwaka huu na baadaye tafrija kubwa ilifanyika katika ukumbi wa kisasa kabisa wa Five Star uliopo Mbezi.



Mmeniona navyomelemeta jamani, ni Janeth Kasabo ambaye sasa ni Mrs Jacob akiwa katika pozi la picha katika viwanja vya Chuo Kikuu cha Dar es Salaam baada ya kufunga pigu za maisha na Jacob.



Pata kitu hicho si wawili tena bali ni mwili mmoja, J&J.



Wakiwa na nyuso za furaha ni maharusi Jacob na Janeth baada ya kunga ndoa yao hivi karibuni.



Mr and Mrs Jacob wakiwa katika pozi la nguvu ndani ya ukumbi wa 5 Star.

No comments: