Bado dakika tano tu namba ambazo hazija sajiliwa zikatiwe mawasiliano huku mtandao wa Vodacom Tanzania ukiwajibu wateja wake wapendwa meseje hiyo pindi unapotaka kujaua kwa mara ya pili kama umesajiliwa au la.
Jibu hili unalipata pale utakapo andika *106# kwa wale walioko vodacom.
No comments:
Post a Comment