Welcome to pwaniraha blog please contribute by posting your comments on our blog, kindly note that abussive language is strictly not entertained. Thank you.
Welcome To Pwani Raha Blog; email us at "pwaniraha@gmail.com"

June 23, 2010

MISS ILALA GUMZO JIJINI DAR ES SALAAM.

Warembo wanaoshiriki katika shindano la miss Ilala 2010 wakiwa katika shindano la miss Talent lililofanyika usiku wa kuamkia leo katika hoteli ya Lamada Dar es Salaam.
Warembo wakiwa katika ubunifu wa vipaji.


Warembo wanaowania miss Ilala katika shindano linalotalajia kufanyika siku ya Jumamosi nya Tarehe 26 mwezi wa sita 2010.wakiwa katikam pozi la tabasamu.

1 comment:

shenneat said...

official statement replica bags browse around this website 7a replica bags wholesale anchor https://www.dolabuy.co