Welcome to pwaniraha blog please contribute by posting your comments on our blog, kindly note that abussive language is strictly not entertained. Thank you.
Welcome To Pwani Raha Blog; email us at "pwaniraha@gmail.com"

June 23, 2010

MISS ILALA WALIVYOTEMBELA KAMPUNI KIWA NDA CHA BIA CHA TBL

Warembo wanaoshiriki katika shindano la Redds Miss Ilala wakielekezwa kitu na bw. Justino Jekela jinsi mtambo wa kuchuja bia unavyofanya kazi wakati walembo hao walipotembelea kiwanda hicho leo mchana.
.

Warembo wanaoshiriki katika shindano la kumsaka Redds Miss Ilala 2010 wakiingia kwenye kiwanda cha Kampuni ya bia ya TBL ili kujionea shughuli mbalimbali zinazofanywa kiwandani hapo wakati wa kutengeneza bia zinazozalishwa na kiwanda hicho warembo hao wanatarajia kupanda jukwaani kwenye ukumbi wa Ubungo Plaza juni 26 katika shindano la urembo litakalomtoa malkia wa Ilala mwaka huu, hivi sasa mrembo Sylivia Shally ndiye anayeshikilia Taji hilo baada ya kulichukua mwaka jana. pia walipata nafasi ya kujionea jinsi bia inavyojazwa kwenye chupa na kufungwa vizibo kabla ya kupangwa kwenye masanduku taya