Welcome to pwaniraha blog please contribute by posting your comments on our blog, kindly note that abussive language is strictly not entertained. Thank you.
Welcome To Pwani Raha Blog; email us at "pwaniraha@gmail.com"

July 1, 2010

Katerero Ndani Ya Harusi Ya Jacob na Janet.


Wasanii wa kundi la Tuyambe la jijini Dar es Salaam Caneth Baretwa na Helena Zakaria wakiwapagawaisha maharusi katika ukumbi wa 5 STAR.



Kama kawa maharusi wanakamua bila woga hapo ni kuteleza tu goma ya Kihaya.


Kazi na dawa, maharusi wakijichana misosi kwa wingi hapa mama anaanza kuonyesha cheche zake za kumjali mume wake kwa kumpakulia chakula na kukibeba.

No comments: