Welcome to pwaniraha blog please contribute by posting your comments on our blog, kindly note that abussive language is strictly not entertained. Thank you.
Welcome To Pwani Raha Blog; email us at "pwaniraha@gmail.com"

July 7, 2010

Acheni mungu aitwe Mungu wazee hawa pichani ambao wote ni walemavu wa Macho wasioona wakisaidiana kutembea katika moja ya barabara zilizopo Singida Mjini hapa ni maeneo ya Soko Kuu la Mkoa huo.

Kaka huyo Kimalo akipata mahitaji yake ya karanga huko Kiomboi mkoani singida wakati alipokwenda huko katika shughuri zake za kujenga taifa.

Kilimo kwanza, ngo'mbe wakiwa katika harakati za kusompa matofali kwa ajiri ya ujenzi wa nyumba.


HAKUNA KULALA . MAMA huyu akiwaovateki wanaume wasukuma mikokoteni katika barabara ya Uhuru huku akiwa na Mifuko mingi ya Mihogo.

No comments: