Welcome to pwaniraha blog please contribute by posting your comments on our blog, kindly note that abussive language is strictly not entertained. Thank you.
Welcome To Pwani Raha Blog; email us at "pwaniraha@gmail.com"

July 7, 2010

MAMA MTALAAMU WA KUIBA SIMU KATIKA SHEREHE ZA HARUSI AKAMATWA

Mwanamke ambaye hakufahamika jinalake akiwa chini ya ulizi wa askari katika ukumbi wa Delux uliopo sinza kijiweni baada ya kutuhumiwa kuiba simu za wageni waalikwa katika harusi ya mmoja wa wafanyabiashara eneo la Kariakoo Dar es Salaam.hata hivyo mama huyo ni mioongoni mwa akina mama wanaojifanya kuwa wamo katika shughuri hizo kumbe ni wale akina mama maarufu kwa wezi kwa hiyo wananchi mchukue tahadhari kwa akina mama hawa,

Mama huyo akiwa amevua nguo zake ili kuwahakikishia kuwa yeye si mwiza alipoulizwa kuwa yeye ni mgeni mwalikwa alisema ndiyo akaulizwa unamfahamu nani kati ya hawa maharusi hakuwa na jibu alipopata kipigo alisema simualikuwa amempa mmoja wa wahudumu waliokuwa wakihudumia katika harusi hiyo.

Wageni waalikwa wakiselebuka taarabu huku mwenzake akiwa anawachukulia simu zao.
Hawa ndio akina mama wafanyabiashara katika soko la kariakoo wakimwagiana pesa kama njugu bila huruma .hapa wanampongeza dada mlezi wa Bwana harusi.

1 comment:

tareares said...

rapport complet Dolabuy Louis Vuitton cliquer pour la source Dolabuy Prada Source dolabuy.co