CD "Mama Kimwaga" (Sugar Mum) wa Ngoma Africa band yatua kwa kishindo HOLLAND!
CD yenye nyimbo nane maarufu kama "Mama Kimwaga" malikia wa maraha! au sugar mum imetua kwa kishindo nchini Uholanzi.kwa ajili ya kuwapa raha wadau wote nchini Uholanzi. Kwa wale wanaohitaji kununu CD hizo nchini Uholanzi wanaweza kupigia simu namba 0641660557 na kama unapiga nje ya Holland piga simu 0031641660557 hili uwai kupata CD hiyo maarufu yenye mziki wa kukata na shoka. Wadau wote wa Uholanzi tafadhalini wasilianeni na Mr.Kate aka Cobra kwa kupata CD hiyo katika namba
0641660557. The Ngoma Africa Band aka FFU daima inawapa mziki na burudani muipendayo.
No comments:
Post a Comment