Welcome to pwaniraha blog please contribute by posting your comments on our blog, kindly note that abussive language is strictly not entertained. Thank you.
Welcome To Pwani Raha Blog; email us at "pwaniraha@gmail.com"

June 22, 2010

Kila Alhamisi ndani ya Clubu Masai mambo yanakuwa mtomoto unakalibishwa muziki kwa wingi mademu kwa wingi wanaume kwa wingi kiingilio chako 4000.

HEEEEEE Twanga wazee wa kisigino hii hapo ni noma sana mtindo huu mwake kabisa jamani.


Stail hii ni mpya watu wanacheza huku wamesimama bila kutingisika kiuno lakini inakuwa tamu ya kweli mapozi kwa wingi vichupi kwa sana kila staili hapa.wanenguaji wa leo wanakuwa kama hivyo wanapo kuwa kazini.

HEEY, hii kali ya leo stail anayetaka aifuate huku iliko.

Hii ndo wikeend ndo zetu watoto wa mchini, mambo ya bongo hayanogi bili kuwa hivvyo vinginevyo unaweza kusinzia kila kona, Jamaa akiwa na mademu wote hawa hukumakiwashikilia boange la Cd tayari kwa kuwarusha ni mambo ya Madj.

2 comments:

mctoxe said...

you can try these out buy replica bags online Find Out More Louis Vuitton fake Bags you can try these out replica ysl bags

Anonymous said...

site ici jetez un œil sur ce site Web parcourir ce site répliques de sacs ysl sa réponse https://www .dolabuy.co