Welcome to pwaniraha blog please contribute by posting your comments on our blog, kindly note that abussive language is strictly not entertained. Thank you.
Welcome To Pwani Raha Blog; email us at "pwaniraha@gmail.com"

June 22, 2010

Bill Clinton katika sherehe za kuapishwa majaji Ikulu leo asubuhi.

Rais Mstaafu wa Marekani Bill Clinton alivyohudhuria sherehe ya kuapishwa Majaji katika Viwanja Vya Ikulu leo Asubuhi akiwa mgeni wa Jakaya Kikwete.


Sawa akina mama mukiwezeshwa mnaweza lakini na nyie muwawezeshe wenzenu,ndivyo Bill Clinton akionekana kunongona na mmoja wa majaji baada ya kuapishwa.
Mmoja wa Majaji aliyeapishwa leo akisalimiana na Bill Clinton katika Viwanja vya Ikulu.
Jakaya Mrisho Kikwete Rais wa Jamhuri ya Tanzania akimuonyesha moja ya maeneo ya Ikulu Rais Mstaafu wa Marekani Bill Clinton katika sherehe za kuapishwa Majaji.



Kila mtu na pozi lake baada ya sherehe za kuapishwa kwa majaji wapywa zilizofanyika katika viwanja vya Ikulu