hapo ni lounge ya kawaida ya kunyolewa nywele hapo BM Saloon.
Jinsi BM saloon inavyoonekana kwa nje na aina ya wateja wanaokuja, hakuna Corolla lililopaki.
Reception ilivyosukwa.
Chumba cha watoto kunyolewa kwa raha.
Mtoto anavyopata huduma.
Hii ni lounge ya kusubira huduma.
Ikiwa wife wako ni vuvuzela flani anapenda kukufuata hata saloon basi atapata huduma hapa.
1 comment:
I would like to exchange links with your site www.pwaniraha.com
Is this possible?
Post a Comment