Welcome to pwaniraha blog please contribute by posting your comments on our blog, kindly note that abussive language is strictly not entertained. Thank you.
Welcome To Pwani Raha Blog; email us at "pwaniraha@gmail.com"

June 21, 2010

CCM WAPATA PIGO.

TUMEUNGA UNDUGUPO. Wazazi wa familia mbili za Mzee Samwel Kamalamo na ya John Hiza wakiwa katika picha ya pamoja na watoto wao Samson Kamalamo na Margerath Hiza (waliokaa mstari wa mbele (katikati) mara baada ya wawili hao kufunga ndoa katika kanisa la Mennonite lililopo upanga jijini Dar es Salaam, sherehe babu kubwa iliyofanyika katika ukumbi wa Bwalo la Polisi Oysterbay Dar es Salaam.

Hebu nicheki. Margerath Hiza akiwa kwenye pozi nje ya bustani ya hoteli ya Double Tree iliyopo Masaki jijini Dar es Salaam mara baada ya kufunga ndoa na Samson Kamalamo jumamaosi iliyopita.

Mti mwema ni ule wenye kutoa matunda. Nasi tunahitaji matunda kutoka kwenu. Hivyo ndivyo wanavyoonekana kusema wazazi wa Samson Kamalamo na Margerath Hiza.


"Huyu ndiyo mwenyewe, wengine mnikome. Ndivyo anavyoonekana kusema Mkurugenzi wa Kampuni ya Lady Band LTD.ya jijini Dar es Salaam Samson kamalamo akiwa amemshika mkewe Margerath Hiza kwenye bustani ya Hoteli ya Double Tree iliyopo Masaki muda mfupi baada ya kufunga ndoa katika kanisa la Monnonite lililopo Upanga jijini.

No comments: