Welcome to pwaniraha blog please contribute by posting your comments on our blog, kindly note that abussive language is strictly not entertained. Thank you.
Welcome To Pwani Raha Blog; email us at "pwaniraha@gmail.com"

November 12, 2009

VODACOM MMEMWONA HUYU MPIGAPICHA ANVYOWAFAGILIA

Makampuni mengi yamekuwa na tabia ya kujitangaza kwa aina mbalimbali kama vile kuchapisha matangazo yao kwenye furana na sehemu nyingine muhimu mmoja wa wapigapicha mahiri nchini akiwa kazini huku amevalia furana iliyokuwa na tangazo la vodacom, Lakini nchi nyingine ukivaa kama hivyo unakuwa na uhakika wa kulipwa hepu angalia umati wa watu waliofurika uwanjani wakimshangaa jamaa huyo na camera yake pamojana tangazo hilo kifuani.Vodacom nadhani mmemwona kijana huyo mchapa kazi anavyo wafagiria muda wote mtoeni basii.

1 comment:

Anonymous said...

tumemwona, tafadhali tupatie contacts zake for compensation!

mafuru.
markerting manager