Mama mzazi wa mshiriki wa Big Brother revolution Hallin Gupta akimpongeza mwanawe Elizabeth Gupta baada ya kuwasili katika uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Mwalimu Jk Nyerere Dar es Salaam akitokea nchini Afrika Kusini ambako mashindano hayo yanafanyika. Wapenzi na wafanyakazi wa kampuni ya Multi Choice walifurika kumpokea majira ya saa 2:00 usiku leo.
November 11, 2009
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
















1 comment:
dada katurepresent huyu.
Post a Comment