Jua Cali kushoto akifanya vitu vyake huku wadada waliokaribu wakipandwa na mzuka.
Mwana dada ambaye jina lake halikufahamika akicheza mbele ya Jua Cali.
Mhariri Mkuu wa magazeti ya changamoto na The Football yanayomilikiwa na kampuni ya Lady Band Jamillah Abdallah akisakata dansi na mwanamuziki mahiri kutoka Kenya Paul Nunda, maarufu kama Jua Cali katika ukumbi wa bwalo la polisi Oystarbay (Police Officer's Mess) wakati wa kuchangia Klabu ya Rotary .
No comments:
Post a Comment