
Neema Mowo akiwa na mdogo wake Mtefu Mowo katika sherehe ya kuhitimu Stashahada ya Juu ya Bima katika chuo cha Usimamizi wa Fedha cha IFM na baadaye sherehe ya kukata na shoka iliyofanyika katika ukumbi Ninty two uliopo Shekilango Sinza Dar es Salaam.

Neema Ignas Mowo akipozi katika picha na Rafiki yake mpendwa Moris Joseph kabega wakati wa sherehe ya kumpongeza Neema kwa kuhiti Stashahada ya kwanza ya Bima katika Chuo cha Usimizi wa Fedha cha IFM, na baadaye ilifuatia tafrija iliyofanyika katika ukumbi wa Ninty two Uliopo shekilango Sinza.

Nyota njema huonekana asubuhi wapendano hawa wakiwa na nyuso za furaha.

Neema Mowo akiwa katika picha ya pamoja na wazazi wake.

Neema Mowo akiwa na mpambe wake.
No comments:
Post a Comment