Welcome to pwaniraha blog please contribute by posting your comments on our blog, kindly note that abussive language is strictly not entertained. Thank you.
Welcome To Pwani Raha Blog; email us at "pwaniraha@gmail.com"

November 28, 2009

Fidelis Ferdinand Akiwa Juu Ya Bajaj Baada Ya Kuhitimu Degree Ya Utumishi Na Utawala.

Mhitimu wa (Degree ya uzamili katika utumishi na utawala ) Masters of Education Mananagement and Administration (MEMA) Fidelis Ferdinand Byenobi, akiwa katika usafiri wa Bajaj baada ya kumalizika kwa sherehe ya Mahafali iliyofanyika katika Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, akielekea katika kituo cha mabasi cha Ubungo tayari kuanza safari ya kwenda Morogoro kusheherekea na Familia yake.

Wahitimu wa Mastars of Educational Management and A dministration MEMA wakiwa katika picha ya pamoja katika mahafali ya 39 ya Chuo Kikuu cha Dar es Salaam. Jumla ya wanafunzi waliokuwa wakisoma kozi hiyo walikuwa 20 lakini waliofanikiwa kumaliza na kuhitimu ni kumi tu.


Fidelis Ferdinand akiwa ameshikilia shaada la maua baada ya kuhitimu Masters of Educational Managemant and Adiministration (MEMA) katika Chuo Kikuu cha Dar es Salaam.