Welcome to pwaniraha blog please contribute by posting your comments on our blog, kindly note that abussive language is strictly not entertained. Thank you.
Welcome To Pwani Raha Blog; email us at "pwaniraha@gmail.com"

November 28, 2009

Sasa Anaitwa Dk John Pombe Magufuli, Waziri Magufuli Ahitimu Phd UDSM.

Waziri wa Uvuvi na Mifugo Dr John Pombe Magufuri akipongezana na Dr John Stanslaus Nduguru amabaye ni Mkurugenzi wa idara ya huduma ya ufundi katika Wizara ya Miundo mbinu baada ya kuhitimu Phd katika mahafali yaliyofanyika Chuo Kikuu cha Dar es Salaam.