ICB CEO Mr Ramani cuts his birthday cake on Saturday, his staff surprised him by arranging a small party for him at the bank premises.
Kutoka kushoto ni Beatrice kitengo cha credit, Bi Mary, Salma, John na Ritha wote wakiwa wafanyikazi wa ICB makao makuu
.
ICB staff wakimuimbia nyimbo ya besdei bosi wao, wakiongozwa na Chief Internal Auditor wa benki Mrs Christine Mbonya.
Martin Loje mkuu wa itifaki akipozi na soda yake.
No comments:
Post a Comment