
Kutoka kushoto ni Steve Kanumba, Ali Choki, Ray na Laurent Wahuzuria.

Watoto wa marehemu Mohamed Mpakanjia.

Muumini Mwijuma akiwa na Rogerti Katapila.

Marehemu akiwa katika nyumba yake ya milele.

Baba wa marehemu Amina Chifupa aliyevaa vazi la bluu pia alikuwepo mazishini.

Umati uliyofika kumzika Mohamed Mpakanjia katika makaburi ya Kisutu hapo jana.
2 comments:
Inna lillahi wainna ilahi rajiuun !
hao wasanii wanaocheka na kujishebedua wapo msibani au kwenye sherehe? tuheshimu mikusanyiko ya misiba kama hatuwezi kuwa serious basi tusiende.
Post a Comment