Welcome to pwaniraha blog please contribute by posting your comments on our blog, kindly note that abussive language is strictly not entertained. Thank you.
Welcome To Pwani Raha Blog; email us at "pwaniraha@gmail.com"

September 11, 2009

Gari lagonga Nyumba Huko Kimara.

Lori la Mizigo likiwa na trela lake lenye namba za usajiri T 885 ASM likiwa limegonga nyumba usiku wa kuamkia leo katika eneo la Kimara Mwisho. Mtu mmoja aliyejulikana kwa jina la Salum Mussa Ndete amekufa baada ya kugongwa ndani ya nyumba akiwa amelala leo alfajiri saa 11.
Je devera huyu akifungwa, madereva wenzake watagoma?

2 comments:

Simon Kitururu said...

Inasikitisha!:-(

Matangalu said...

Huyu dereva kwanza anatakiwa apimwe akili na pia aangaliwe kama anatumia madawa ya kulevya au alikuwa amelewa.