Welcome to pwaniraha blog please contribute by posting your comments on our blog, kindly note that abussive language is strictly not entertained. Thank you.
Welcome To Pwani Raha Blog; email us at "pwaniraha@gmail.com"

September 9, 2009

Stephen Kanumba

Kijana wetu Kanumba alipokuwa ndani ya jengo la Big Brother Africa Revolution. Kijana huyu ametuwakilisha vilivyo, watu wengi wemamsifia sana kwa jinsi anavyoongea ngeli na vazi lake zuri la rangi ya pinki.

6 comments:

Anonymous said...

Ahhh ngeli alitema ya ajabu ile mbaya. Kama kuwakilisha ndio huku basi tumewakilishwa.

Anonymous said...

Ehh bwana ehh.

Anonymous said...

Ehh bwana ehh.

Anonymous said...

ah mzee wa "im closed,mambo vp?"
yani kufunga mwezi wa ramadhani kumbe kwa english ni kuclose? duh..nilikuwa sijajua mkuu!
hahaha
hahaha

Anonymous said...

tehe tehe teh mzee wa aaaa mmmhh eeh yaaa umesha open??hivi umesoma wapi homeboy kimombo kinakutesa eeh

Anonymous said...

Bwana huyu namshauri huyu aende pale English Fountain itakuwa poa sana.