
Husna Omary 21, mmoja wa washiriki wa Miss Ilala akisoma jarida katika ofisi za Vodacom Tanzania.

Washiriki wa Miss Ilala wakionyesha vifurushi vya vilivyona na (line) za Vodacom walizokabidhiwa ofisi humo.

Washiriki wa shindano la Miss Ilala wakiwa katika mtaa wa Shule ya Uhuru baada ya kutembelea duka la Vodashop Kariakoo.

Fatma Bongi kushoto akisoma jarida la Vodacom akiwa na mshiriki mwenzake Doris Jimmy katika ofisi za Vodacom.
Soma zaidi.....

Washiriki wa Miss Ilala wakipiga picha ya pamoja wakiwa na wadhamini wao Vodacom.

Isaya Mwakifulefule meneja wa Voda Foundation akiwapa maelekezo washiriki wa Miss Ilala.

Kutoka Kulia ni Pendo Lema, Doris Jimmy na Gladys Shao wakiwa katika ofisi za Vodacom.
1 comment:
Hii blog kwa totozz! Inatupa habari motomoto kwa yanayojiri hapa jijini.
Post a Comment