
Benard Mapalala na Mkewe Clara Ghati wakiwa na nyuso za furaha baada ya kufunga ndoa katika kanisa katoliki la Mtakatifu Petro Oysterbay na Tafrija ilifanyika katika ukumbi wa Mlimani City Dar es Salaam.
Kwa sasa Pwaniraha wanatoa huduma ya picha kwa ubora zaidi kwa kutumia kamera za kisasa, picha zinaharirwa kwa umakini. Pia tunatoa huduma ya Picha za Video katika sherehe mbalimbali kwa kutumia kamera za kisasa 3CCD kwa mawasiliano tutumia
pwaniraha@gmail.com. Bei ni maelewano.
No comments:
Post a Comment