
Kundi jipya la vichekesho la Vimbwanga Time limeanzishwa jijini, hivi majuzi kundi hilo lilifanya maonyesho yake katika mashindano ya Miss Kinondoni.

Je wanaweza mambo kama vile orijino Komedi, au nguvu ya soda.

jamaa wanaiga jinsi mamiss wanavyotembea "cut walk".
Picha zaidi......

Ila vifaa wanavyo.

Mrembo aulizwa maswali.

Waliohudhuria.
No comments:
Post a Comment