
Wanafunzi hawa wamebeba madumu ya kuchotea maji huku wakimshubiri Mkuu wa Voda Foundation Mwamvita Makamba, ambapo Voda Foundation ilitoa msaada ya madawati sabini (70) kwa shule hiyo.

Mkuu wa Voda Foundation akisalimiana na mwanafinzi wa shule ya msingi Kilimani iliyopa kata ya Kipinguni.

Mkuu wa Voda Faoundation Mwamvita Makamba (kulia) akimkabidhi msaada wa madawati 70 diwani wa kata ya Kitunda Isango Kaseno (kushoto). Katikati ni mwalimu Mkuu wa shule hiyo Josephine Matiku na mwenyekiti wa serikali za mtaa wa Kipungu Bw. Gabriel Mhanga.

Wanafunzi wakifurahia madawati waliyo zawadiwa na Vadacom.
No comments:
Post a Comment