
Walio na nyuso za furaha ni Joseph na mkewe Mary Thomas baada ya kufunga ndoa katika kanisa la Mtakatifu Petro Oyster Bay na baadaye sherehe kufanyika katika ukumbi wa Russian Culture.

Angalia jinsi bwana harusi na "bestman" wake walivyotoka. Haya ndio mambo ya pwaniraha photoz.
Picha zaidi...



No comments:
Post a Comment