Welcome to pwaniraha blog please contribute by posting your comments on our blog, kindly note that abussive language is strictly not entertained. Thank you.
Welcome To Pwani Raha Blog; email us at "pwaniraha@gmail.com"

July 23, 2009

Mtoto wa Siri wa Michael Jackson.

Aliyepigwa duara hapo juu ni kijana anayesadikiwa kuwa mtoto wa Michael Jackson. mwanamuziki wa Norway Omer Bhatti ni kijana mwenye umri wa miaka 25. Cha ajabu siku ya mazishi ya Michael Jackson alikuwa amekaa pamoja na familia nzima ya mwanamuziki huyo maarufu duniani, jambo ambalo lilifanya watu washuku kuwa kuna uwezekano kuwa Omer ni mtoto wa siri wa Michael Jackson. Inasadikiwa kuwa Omer anapimwa DNA ili kujua fika kama Michael Jackson ni baba yake au la. Kuna tetezi kuwa Michael jackson alikuwa si rijali, lakini mke wake wa zamani Lisa Marie Pressley alikanusha na kusema kuwa mike mdogo alikuwa gado.
Hapa picha ya kijana huyu ikilinganishwa na picha ya Michael jackson alipokuwa na umri huu.

No comments: