
Rais Jakaya kikwete akibonyeza kitufe wakati wa uzinduzi wa mkongo wa mawasiliano wa kimataifa wa seacom utakaoorahisisha kupunguza gharama za simu na matumizi ya komputa mara baada ya kuuzindua jana Kulia ni Mkuu kituo cha SeaCom Lonton Chimbura akishuhudia.
No comments:
Post a Comment