.
Nani kuibuka mshindi wa Miss Temeke Jumamosi ya tarehe mosi Agosti 2009 katika ukumbi wa TCC Chang'ombe. Jumla ya washiriki 12 watapambana kuwani malkia wa ulimbwende Temeke. Yafuatayo ni majina ya washiriki.
1. Stella Solomon
2. Sia Ndaskoy
3. Shani Anthony
4. Irene Christopher
5.Celine Chipeta
6. Fatuma Suzan
7. Sara Stepehen
8. Christine Thomas
9. Samira Kafinda
10.Grace Shayo
11. Nezia Anthony
12. Herieth Kibambe
Miss Redds Temeke inayofanyika Jumamosi Agosti 1, 2009 katika ukumbi wa TCC Club, Chang'ombe inadhaminiwa na Redds Premium Cold, Vodacom Tanzania, Aurora Security, Gazeti la Jambo Leo, Sofia Recordings, 88.4 Clouds FM (redio ya watu), Mwasu Fashions, 100,5 Times FM(mguso wa jamii), Screen Masters, Valley Springs, Renzo Salon, Mariedo Boutique, i-View Photography na mwanamitindo Ally Rhemtullah.
Taji la Miss Temeke linashikiliwa na Angela Lubala. Kiingilio VIP 50,000 pamoja na chakula cha jioni na sh.10,000 Burudani; Mwanamuziki Lawrance Malima 'Marlaw' anayetamba na wimbo wake Nimechoka Kungoja 'Jam', shoo ya safu nzima ya Twanga Pepeta na kundi mahiri la The Chocolate.
No comments:
Post a Comment