Welcome to pwaniraha blog please contribute by posting your comments on our blog, kindly note that abussive language is strictly not entertained. Thank you.
Welcome To Pwani Raha Blog; email us at "pwaniraha@gmail.com"

July 29, 2009

Mbwembwe za Miss Temeke

Mamiss wakiwa mazoezini.

Sarah Stephen akifanya mazoezi, pozi yake ni balaa, nadhani wadau mnakubali.


3 comments:

Anonymous said...

pozi hiyo ya kati imekaa utamu sana, yani mwaaah.

Anonymous said...

Mie namba 12 kanikuna roho

Anonymous said...

Watoto wanacheka tu, smile tabasamu lakuvutia na kisha mtindi saa sita kwaheri.