Magoma Moto ni jina maarufu sana kwa wapenzi na mashabiki wa Klabu ya Simba yenye makazi yake msimbazi. Jamaa huyu anaipenda Simba kuliko hata mkewe Simba ikifungwa haongei na mkewe kiasi cha kutaka kumpa talaka ni miongoni mwa waanzilishi wa kideda cha mchachu.
Anasema Simba ikifungwa ni sawa na mimi kuwa mgonjwa mahututi huwa sili kwa muda wa siku mbili hata chai sinywi. Kwa sasa kutokana na ushangiliaji wake kampuni ya bia imempa ajira ya kutangaza bidhaa zake kama anvyoonekana katika picha katika maonyesho ya kimataifa ya biashara ya nje Sabasaba.
Bidhaa za Serengeti breweries.
1 comment:
hehehehe sasa mkuu huyo Magoma moto mbona kavaa nguo za wanajangwani hapo au ndo hivyo yupo mzigoni? Mbona siku ile Stars walipo cheza na znz mashabiki wa msimbazi wakawa wanashangilia znz kwa ajili ya jezi? tena huyo huyo magoma moto muulize.
Huu unazi ni wa kinafiki angekuwa kweli ni mpenzi wa simba asinge vaa nguo za watoto wa jangwani hizo. Najua itakuwa njaa tu.
Poa mi mdau wa jangwani Fidel.
Post a Comment