
Mmoja wa wafanyabishara wa nyama choma mwenye asili ya asia akichoma nyama choma katika viwanja vya sabasaba wakati wa maonyesho yaliyofganyika hivi karibuni.

Jumanne Hamisi ambaye nimfanyabiashara ya mitumba katika soko la Ilala jinini Dar es Salaam, walemavu wanahitaji kuwezeshwa zaidi.
1 comment:
Hapa naona kulikuwa na kazi!
Post a Comment