
Kampuni ya Liberatus Apparels iliyopo Msasani jijini Dar es Salaam, imezindua nembo mpya ambayo imedizainiwa na Mkurugenzi wa Kampuni hiyo Libeeratus Kaegela.
Lengo la kampuni hiyo ni kukuza utamaduni wa Watanzania wa kuwa wabunifu hapa nchini na hata Kimataifa, kwa muda mrefu wamekuwa wakijivunia uhodari wao ambao tayari wasanii wa hapa nchini wamekuwa waskitumia disegn za hapa bongo,
Kwasasa tayari balozi mbalimbali na makampuni makubwa yameanza kujivunia ubunifu wa mtanzania ambao kwa miaka mingi wamekuwa wakiiga utamaduni wa nchi za ulaya kama vile Marekeni muingereza nk.

Mwanamuziki mashuhuri toka nchini Marekani Chingy ambaye alifanya onyesho lake katika viwanja vya Leaders Club na kukonga nyoyo za wabongo alikuwa miongoni mwa wasanii walio pendeza kwa kuvalia tisheti zenye nembo ya YOUNG BLACK GIFTED ambayo imetengenezwa na Kampuni hiyo.
No comments:
Post a Comment