Welcome to pwaniraha blog please contribute by posting your comments on our blog, kindly note that abussive language is strictly not entertained. Thank you.
Welcome To Pwani Raha Blog; email us at "pwaniraha@gmail.com"

April 8, 2009

PERFORMANCE YA CHINGY DAR ES SALAAM (LEADERS CLUB)

Mshike mshike pale Leaders Club ambapo mwanamuziki wa Kimarekani Chanigy aliopfanya shoo hapa jijini ilikuwa balaa baada ya kuwapagawisha akinadada wa kibongo ambao wakisha ona mwanamuziki toka marekani basi wao huchanganyikiwa. Onyesho hilo lilihudhuriwa na wasanii hapa bongo wakiwaemu Chid Benz ,Ay, Profesa J na wengine ni Dogo Mfaume.
Mashabiki bongo wakimpiga picha Star la kimarekani Chingy. KWA PICHA ZAIDI CLICK CHINI HAPO.

Star Chingy akifanya mavituz yake.

Kama Majuu vile.

Dual performance.

Mashabiki wakipandwa na mzuka huku askari wakiwadhibiti.

Mzuka mwanangu.



Hapa hakuna simu yqa mchina ni Black Berry na Nokia kwenda mbele.


No comments: