Welcome to pwaniraha blog please contribute by posting your comments on our blog, kindly note that abussive language is strictly not entertained. Thank you.
Welcome To Pwani Raha Blog; email us at "pwaniraha@gmail.com"

April 8, 2009

MWIZI WA TAA ZA GARI ANAKULA KICHAPO

Vijana wanaolinda usalama katika kanisa la Mtakatifu PETRO Oysterbay wakimzibiti Kijana aliyeshukiwa kwa Wizi wa Taa za Gari aina ya Rava4 yenye namba za usajili T952AEU, wizi wa power window na Taa za magari umeshamiri katika kanisa hilo.


Hivi ndivyo mwizi huwa anapokamatwa, mwizi huyu hana la kusema maana ameshikwa "Red Handed".

Jinsi kichapo kilivyokuwa, wengine hapa wanafanya mazoezi ya kungfu.

Mwizi akiwa amekamata taa alioiiba.

Hapa anapelekwa polisi.

Wamepokonya bisibisi aliyokuwa akiitumia kufungulia taa.

Zaidi ya miaka mitatu sasa tangu kugundulika kwa soko la power window za magari aina ya Suzuki Vitara na vifaa mbalimbali vya aina mbalimbali za magari katika jiji la Dar es Salaam. Wenye magari wamekuwa hawana raha, katika sehemu mbalimbali za jiji hususani katikati ya mji kumekuwepo na wizi mkubwa wa vifaa hivyo ambavyo inasemekana ni dili sana. Sehemu ambazo zimekuwa zikipata misukusukuko hiyo ni sehemu za ibada kama vile Misikitini, Makanisdani na sehemu za mikusanyiko ya watu yaani mikutano. Sehemu hizo utasikia vilio vya wenye magari wakilalamika juu wizi huo. Kanisa la Romani Katoliki la Mtakatifu Petro Oysterbay lilifikia hatua ya kuweka ulinzi wa jeshi la Polis ambapo kila inapofika Jumapili ni lazima askari wa jeshi hilo wa Kituo cha Oysterbay nilazima wafika kulinda usalama wa maliza watyn katika misa zote Nne. Lakini kila siku walikuwa wakiibiwa Magari na vioo vya taampower window na satimirra,yaani chochote kitachokuwa ndani ya gari waumini wadhebu hilo ilikuwa imefikia sehemu ya kuja na walinzi wao wa magari yao jambo ambalo liliwahudhunisha sana. Vijana wengi walikuwa wameigeuza sehemu hiyo ya kanisa kama sehemu ya diri ukija na beiskeri basi ujue hurudi nayo nyumbani,ikawa imefikia hatua ya paroko Jovin Bakekela kubuni mbinu ya kutengeneza vitambulisho kwa kila anyekuja na baiskeri anpewa wakati wa kutoka kanisani anarudisha kadi kwa mlinzi, Jana wakati wa Ibada ya misa takatifu ya Matawi kamailivyodestuli kwa wakristo kuiadhikisha siki hiyo ambayo yesu alilakiwa katika MJI wa Yerusaremu Vijana wa kanisa hilo walijifanya waumini wa

kawaida ndipo walipogundua mtindo wa wezi wa kujifanya ni waokota chupa chafu za maji wengine huja hapo kanisani wakiwa na gari kisha huegesha karibu na gari ambalo wanataka kuiba Kijana huyo baada ya kukamatwa alipata kipigo cha kweli lakini waumini walidai asamehewe wengine katika kituo cha polisi.


No comments: