Welcome to pwaniraha blog please contribute by posting your comments on our blog, kindly note that abussive language is strictly not entertained. Thank you.
Welcome To Pwani Raha Blog; email us at "pwaniraha@gmail.com"

April 1, 2009

MELI YAKWAMA KWENYE BANDARI YA SALAMA

Hii ndio meli iliyokwama bandari hapa Dar es salaam jana baada ya kupoteza mwelekeo. Meli hii inaitwa MSC Federica.

Jinsi Meli ilivyokwama kwenye mchanga.

Sijui hii ndio style ya kupunguza mizigo ya Meli.

Vijana wakishangaa feri.


No comments: