Welcome to pwaniraha blog please contribute by posting your comments on our blog, kindly note that abussive language is strictly not entertained. Thank you.
Welcome To Pwani Raha Blog; email us at "pwaniraha@gmail.com"

April 1, 2009

LEO FERRY (SOKO LA SAMAKI KIVUKONI)

Biashara ilikuwa si nzuri leo eneo la Feri soko la samaki, meza nyingi zilikuwa tupu (wazi).

" Wateja hakuna sasa inabidi nisome gazeti kwa hara zangu"


Huyu naye amejipumzisha bila wasiwasi kwa kukosa shughuli.



Wengine waliopata bahati kama huyu mpaaji samaki alikuwa anakata slesi za samaki aina papa.

Soko hili huwa na jiko, hapa watu wako bezi na usafi umeongezaka sio kama zamani.



Nje tu ya soko la samaki vijana huuza pweza waliopikwa (ready kwa kula). Mzee huyu na sticki yake anachagua pweza wa kula.


No comments: