Welcome to pwaniraha blog please contribute by posting your comments on our blog, kindly note that abussive language is strictly not entertained. Thank you.
Welcome To Pwani Raha Blog; email us at "pwaniraha@gmail.com"

March 24, 2009

WATOTO WANAOISHI KATIKA MAZINGIRA MAGUMU WAGOMBEA CHUPA YA GUNDI LA VIATU.

Hii ni chupa ya gundi ambayo hutumiwa kuleta stimu inapovutwa.

Survival for the fittest. Vijana wa mtaani (chokoraa) wakizicha kwa sababu ya kugombania chupa ya gundi (gamu).

Watoto ambao wanaishi katika mazingira magumu ambao hufanya shughuli za kuosha magari na kuomba katika makutano ya Barabara ya Bibi Titi Mohamed na Morogoro, walipigana kwa zidi ya saa4 pasipo mtu yeyete kuamulia wala vyombo vya dola. Hata hivyo mwandishi wa Pwani Raha alijaribu kuwaamua lakini baada ya dakika 2 walirudiana huku wakiwahusiha makaundi ambayo ni wapinzani.

Hapa barabarani na ni mchana kweupe.

Vijana wanatwangana mpaka mpita njia anawaamulia.

1 comment:

Anonymous said...

Nice site, nice and easy on the eyes and great content too.