Wanenguaji wakiwa wanacheza mugongo mugongo.
Mambo katika jukwaa yalikuwa yamechangamka sana.
Lilian Internet mnenguaji maarufu akifanya vitu vyake jukwaani.
Dada kuona hivyo akaamua naye aoneshe manonjo yake jukwaani.
Hii staili kama mpya vipi, sijui tuiite "muguu muguu"
Matho juu (macho juu) design ya ki-pwani pwani.
Braza naye hakukubali akaingia kwenye mashindano.
Akaanza kuruka kama super nyamwela.
Aliengia jukwaani aliwafanya watu wacheke na kupiga makofi.
Mzee small ndiyo jina lake lakini mambo yake ni makubwa.
Shabiki huyu hakuvumialia ilibidi ampe mzee small tuzo.
Mzee small mashetani yakampanda utadhani alikuwa anacheza mdundiko.
2 comments:
BADO MNAENDELEA KUWAKASHIFU WANAWAKE?????
Maoni yako; hata mwendawazimu anaruhusiwa kutoa maoni yake alimradi asitukane humu.
Post a Comment