Kama vile Mkuu anauliza "Hii sio boshen?" kisha kijana anajibu "Mheshimiwa hamna boshen hapa, ukweli ni kuwa nyanya zimejaa" Ufafanuzi; Boshen ni pale nyanya zinaweza kupangwa mpaka juu ukadhani kweli zimejaa lakini katikati kuna upepo. Kwa maana nyengine unaweza kwenda sokoni kununua nyanya au viazi vingi kisha ukifika nyumbani vikawa sio vingi kama ulivyoona. Unatakiwa kuwa makini ukinunua nyanya au viazi. Usimruhusu muuzaji akuwekee nyanya kwenye mfuko, weka mwenyewe au mwambie aweke moja moja.
March 12, 2009
ZIARA YA WAZIRI MKUU MIZENGO PINDA KIARAKOO
Kama vile Mkuu anauliza "Hii sio boshen?" kisha kijana anajibu "Mheshimiwa hamna boshen hapa, ukweli ni kuwa nyanya zimejaa" Ufafanuzi; Boshen ni pale nyanya zinaweza kupangwa mpaka juu ukadhani kweli zimejaa lakini katikati kuna upepo. Kwa maana nyengine unaweza kwenda sokoni kununua nyanya au viazi vingi kisha ukifika nyumbani vikawa sio vingi kama ulivyoona. Unatakiwa kuwa makini ukinunua nyanya au viazi. Usimruhusu muuzaji akuwekee nyanya kwenye mfuko, weka mwenyewe au mwambie aweke moja moja.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment