
Lori lilipendaku baada ya kukwepa daladala maeneo ya njiapanda Kunduchi kwa bahati nzuri hakuna alieumia.

Siku hizi traffic police wako makini sana na kazi zao, pindi ajali ilipotokea walikuja maramoja eneo la tukio.

Afande akiwa kazini kuweka mambo sawa ilikuepuka traffic jam.
No comments:
Post a Comment