
Hii ndio Paradise Holliday Resort kabla ya kuchomeka, Paa la Hoteli hii limejengwa kwa kutumia makuti ambayo ni rahisi kushika moto.

Hili ni eneo la ndani la Paradise.
Paradise Holliday Resort pamoja na Ocenic Bay zote zikiwa Bagamoyo zachomeka na moto mkubwa. Kwa mujibu wa suhuda wetu moto huwo ulianza eneo la Bistro Alakat Restaurant ambapo cheche za moto ziliwaka hadi kwenye makuti. Moto ukaenea kwenye Main Restaurant iliyo karibu na store ya chakula. Moto huwo ulienea hoteli nzima na ikawa vigumu kuuzima. Magari ya zima moto yalichelewa kufika eneo la tukio kwa sababu yanatokea Dar es salaam. Hoteli hii ya kifahari imechomeka kabisa kilichobakia ni vibanda vitatu vya matuki katika eneo la bahari, Paradise Holliday Resort ilikuwa na vyumba tisini na tano. Moto huwo huwo pia umeathiri Hoteli ya jirani ya Oceanic Bay, kiasi cha hasara hakija julikana mpaka sasa.
1 comment:
chrome hearts online store
nike vapormax
goyard handbags
nike huarache
off white
balenciaga sneakers
russell westbrook shoes
curry 6
lebron shoes
hermes handbags
Post a Comment