
Mcizi Mox kwa muda mrefu amekuwa haonekani kwenye gemu hili la muziki.

Uzibduzi huu ulifanyika diamond Jubilee umeme ulikatika Dar nzima lakini mambo yalienda kama kawa.


Mchizi Mox akiwa na mshikaji wake wakifanuya vitu katika uzinduzi wa Tugawane umasikini wa Juma Nature.

Mashabiki wakimshangilia Michi Mox.
No comments:
Post a Comment