
Kutoka kushoto ni Ausi (18), Moshi (20) anayefuata ni mama yao kulia kabisa ni Hidaya (14).

Mwanafunzi wa shule ya sekondari ya Benjamin Mkapa akiwapa mchango wake ili angalau iwasaidie kusuma siku.

Ausi akionyesha hela aliopewa na Msamaria mwema.

Mama huyu anasema kuwa ametoka Mtwara kuja Dar es salaam kutafuta msaada. Mama huyu na marehemu mumewe Mfaume walipata watoto watatu lakini kwa bahati mbaya wote wakawa na ulemavu wa akili. Kwa mchana wa leo mama huyu na watoto wake waliweka kambi katika eneo la makutano ya barabara za Msimbazi na Uhuru (Shule ya Uhuru). Akaongeza kuwa kwa sasa wanalala Ubungo, stendi ya mabasi ya Mikowani.
No comments:
Post a Comment