
Hawa ndio Wanaume Halisi wakimpa "tafu" Juma Nature katika press conference na waandishi wa habari juu ya Album yake ya "kugawa Umasikini" itakayozinduliwa tarehe ishirini mwezi huu hapo Diamond Jubelee Jijini Dar es salaam.

Juma Nature akionge na waandishi wa habari.

Juma Nature aka Kibla akionyesha ishara fulani "huenda ikawa hii ndio staili ya kugawa umasikini".

JB wa Mabaga Fresh aliulizwa swali kuwa ni kwanini amejiunga na TMK Wanaume Halisi nakuwacha kundi lake. JB alijibu kuwa hajaliwacha kundi lake la Mabaga Fresh ila akasema kuwa TMK Wanaume Halisi ni kama Taifa Stars. Akaongeza kuwa Taifa Stars inaweza kuchukuwa mchezaji kutoka Yanga, Simba au timu yeyote ile.

Feruz mwanamukiziki maarufu kundini akipozi kwenye picha na msanii mwenzake. Hili pozi nadhani ni jipya.
2 comments:
ALAMA YA NATURE
Hiyo alama aliyoonesha Naute sio alama mpya au style mpya ya kuingilia ktk uzinduzi.Ni alama ya TATU BILA (3-0) ambayo waliizindua kipindi cha wimbo wa TATU BILA.Na ilikua maarufu sana ktk NANI ZAIDI ya TMK WANAUME na WANAUME HALISI
MAKULILO Jr
www.makulilo.blogspot.com
Ahsante Makulilo kwa taarifa hiyo muhimu
Post a Comment