
Gari la mshiriki mmojawapo wa mbio za magari kutoka Tanzania, Issack Taylor likiwa katika ukaguzi uliofanyika jana katika kituo cha mafuta cha Kobil cha Barabara ya Sam NujOma, jijini Dar es Salaam.Mashindano ya mbio za magari yanafanyika leo yakianzia kituo cha Mliman City kupitia barabara za Pugu hadi Chanika, jumla ya magari 27 kutoka nchi za Burundi, Rwanda, Kenya Uganda na Tanzania yamo katika orodha ya kushiriki mbio hizo.

Ukaguzi wa magari uliofanyika katikia kituo cha Kobil kilichopo Mwenge barabara ya Samjoma.
No comments:
Post a Comment